Admission

CRITERIA TO JOIN DONBOSCO TECHNICAL INSTITUTE DODOMA

In order to qualify for admission to DonBosco Technical Institute Dodoma, the following minimum entry qualifications are required:-

  1. Standard seven certificate OR
  2. Secondary School Form four Certificate (CSEE)

MALIPO YOTE YAFANYIKE KWENYE AKAUNTI YA SHULE:

Jina la Benki: CRDB
Namba ya akaunti: 0150284088500
Jina la akaunti: Don Bosco Technical Institute.

Hatutapokea fedha taslimu ofisini isipokuwa ‘pay in slip’ kutoka bank baada ya kulipa ada kwenye akaunti ya chuo.


MAVAZI RASMI YA SHULE:

Na: SARE YA SHULE
1 Suruali Dark Blue za kitambaa (zinapatikana chuoni)
2 Shati nyeupe mikono mifupi
3 Viatu vyeusi vya ngozi vyenye kamba
4 Sweta rangi Dark Blue
5 Tshirt
6 Mkanda Mweusi


MAHITAJI YA DARASANI:

Na: HITAJI
1 Daftari kubwa (3 quires) = 9
2 Dictionary Oxford kubwa =1
3 Mathematical set-oxford =1
4 Ream paper (nyeupe) = 1
5 Rula ya futi 1=1
6 Tape measure 5 meters